Kwa wenzetu walioendelea na kuthamini ustaarabu kazi zao huzifanya pia kistaarabu.ebu jionee jinsi umachinga wao unavyokwenda..hakna uchafu,hakuna kuuliza bei ni kulipa na kujiondokea.Kwa kweli hata sisi nyumbani wamachinga wakipewa nafasi wajue jinsi gani ustaarabu unavyokwenda,hatuhitaji wataalamu toka nje kuja kutufundisha ustaarabu.