Huwezi amini macho yako,pichani waziri wa mambo ya nje wa Malawi bibi Etta Banda akimsabahi raisi Jakaya Kikwete kwa kumpigia magoti chini kabisaa,kwa kweli sisi waafrika tunaheshimiana vizuri sana ila Malawi nawapongeza kwani nawafahamu kwa sifa hii ya heshima.kushoto waziri wa usafirishaji na miuondombinu akishuhudia salam toka kwa waziri mwenzie.Raisi alikuwa Blantyre nchini Malawi kwa mazungumzo ya siku moja ya kikazi na raisi wa nchi hiyo bwana Bingu Mutharika.