Wakionyesha hali ya kumpinga raisi wao Kagame wanyarwanda walikuwa na mabango jijini Brussel wakimuonyesha hali ya kutoridhishwa na utendaji wa raisi huyo.habari na picha zaidi nitawaletea hapo baadae.