Watoto kweli ni watoto,Ebu angalia jinsi Snow (barafu) ilivyoanguka na wao wapo bize na michezo yao.Hawa watoto ni wadau wakubwa wanaoipa sapoti kiasi fulani hii Blog.