Ukiachilia hizi tulizozizoea,kuna Noti nyingine mpya ambazo zitatoka mwakani mwezi januari.Kwa kuwaaondoa wananchi wasiwasi Gavana wa benki amewataka wananchi wasiwe na wasi wala wasiende benki kuzibadilisha pesa zao,pesa zote zitatumika kama kawaida,na taratibu za kuzipunguza zile chakavu za zamani zitaendelea huku pesa zote zikitumika kwa wakati mmoja.