Wenzangu wa Nzega hii picha ni nchini Croatia kuleee kwenye yule mchezaji maarufu wa zamani Suker sijui bado yupo?Eti watu wangu wa Croatia hizi ni pande zipi na habari gani kwa lugha ya huko mnasemaje?