Kwa waumini wa Kikristo nadhani mnaelewa nini kinaendelea kipindi hiki.Hapa sio mbali na kijiji ninachoishi na kwa kuthibitisha kuwa naishi kijijini mnaona kijumba cha nyasi?Nzega hiyoo jamani.