Mahakama ya Rufani imesema rufaa ya kesi ya mauaji ya wafanyabiashara watatu na dereva taksi mmoja, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Dar es Salaam, Abdallah Zombe na wenzake inatarajiwa kuanza kusikilizwa Machi, mwaka huu.