Kiliporushwa kishada angani chenye kufafana na yule Ndege aliyejuu ya hichi kishada alijua kuwa ni ndege mwenzie alishuka na kuanza kufanya mawasiliano nae kwa lugha yao.Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.