Baada ya kushuka Aiport bwana Sleyyum aliunganisha kupanda trein mpaka kwa wenyeji wake ambapo pichani chini alilakiwa mpaka mjengoni.
Mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam Sleyyum S. Sleyyum awasili Ulaya kwa mualiko wa Azasha Plus.Pichani mfanyabiashara huyo akilakiwa na wenyeji wake pindi alipowasili Europe jana,Sleyyum atakuwa ulaya kwa mazungumzo ya biashara na kampuni ya Azasha Plus kwa siku kadhaa.Akiongea na Maganga One Blog bwana Sleyyum alidokeza kwamba amekuja kuangalia jinsi ya kuwekeza Europe na kutafuta wawekezaji Africa.