SASA NINA UMRI WA MIAKA 7,NAMSHUKURU MUNGU KWA UHAI HUU.
 Hata kama nina miaka sana ila bado ni mtoto jamani ebu nioneni nafanya nini na shoga yangu..!!!
Karibuni keki yangu jamani maana ni tamu sana,Bidada akikata keki yake ya basidei kuashiria kwamba miaka 7 aliyonayo anaweza kujikatia mwenyewe bila wazazi wake.Nawashukuru Wazazi wangu mpaka kufikia umri huu,"sasa nimeingia kwenye ufahamu tofauti,baba anza kunicharaza kila nikirudia kosa".