Mchakato wa kuwapata washiriki wapya wa shindano lijalo la sita la Big Brother Africa (BBA 6) umeanza katika nchi 14 za Afrika na hapa nchini, vijana wenye umri wa kuanzia miaka 21 wameanza kuchukua fomu za kuwania kushiriki shindano hilo.