SIKU YA IJUMAA BAADA YA MAWAIDHA TOKA KWA USTADHI MSIKITINI MAMBO YALIKUWA KAMA IFUATAVYO:

Ustadhi:Mada yetu ya leo ilikuwa juu ya wale wote wanaoteswa na wake zao majumbani,nafikiri nimeeleweka vizuri,sasa kabla sijamalizia naomba wale woote wanaoteswa na wake zao wasimame tafadhali.

WAUMINI WOTE walisimama kasoro mtu mmoja tu hakusimama!!

Ustadhi: "Mash'Allah" wewe huko nyuma uliyekaa huteswi na mkeo eeh??Alhamdulillah.


Yule Muumini akajibu kwa upolee:Hapana Ustadhi yani Kanivunja Miguu yote siwezi hata kusimama Wallah.

Ijumaa njema kwa wote,Saisar'Pasua kichwa' Dar.