Angelina Jolie,Bidada anaechengua sana wanaume kwa lipsi zake kama uzionavyo.
Meno yaliyopangika kiustadi akitabasamu wanaume uchanganyikiwa ni Bidada Alicia Keys
Sura na mwili wake wenye shepu nzuri ukonga nyoyo za kina baba na huyu ni Bidada Beyonce

Akiwa na Hijab bila kuonyesha nywele zake bado ni mzuri sana(hakutaka jina lake lianikwe)
Bidada Jeniffer Lopez ambaye miaka ya nyuma kidogo alizingua akili za wanaume na kufanya wamgombanie
Huyu nae ni Rihanna ambaye kwa staili ya nywele zake na mbwembwe ya sauti yake huweka wanaume njia panda.Kuna vigezo muhimu vya kuongeza Uzuri wa sura yako,Je wafahamu hilo?Ukiangalia picha za hawa warembo hapo juu kila mmoja ana staili yake ambayo ameitumia ili kuonekana mzuri.Haya kina dada ili uwe mrembo sharti Ujirembushe kazi kwenu.