Clijsters amefanikiwa kufikia wiki ya pili kati mashindano yanayoendelea hivi sasa nchini Austarlia yajualikananyo kama Austaralia Open katika mchezo wa tenisi.Ni mbelijiki mmoja tu aliyebaki katika mashindanio ya mmoja mmoja(Single) baada ya kumshinda mfaransa Alizé Cornet amabye alikuwa akisheherekea sikukuu ya ke ya kuzaliwa kwa seti ya (7- 6,6-3). Pichani Clijsters akishangilia ushindi huo baada ya mchzeo.