Bidada Clijsters raia wa Belgium anyakua kombe katika mashindano ya wazi yaliyofanyika Australia jumamosi ya jana baada ya kumshinda mpinzani wake bidada Li Na toka China kwa jumla ua set 3-6,6-3,6-3.
Pichani Bidada Clijsters akishangilia ushindi wake baada ya mechi kumalizika akiwa bingwa. Blog inampongeza sana bidada Clijsters kwa ushindi huo na Belgium kwa ujumla.