Dogo janja mtoto mdogo mwenye mambo makubwa.Kijana pichani ukimuangalia ni mdogo wa umri ila anafanya mambo yanayokubalika kwenye nyanja ya music wa kizazi kipya,Dogo huyu mwenye kuiigiza vyema lafudhi ya wakazi wa Arusha pale anapoimba nyimbo zake,hivi sasa amekuwa gumzo mjini kwa staili yake ya uimbaji huo.Hivi karibuni katoa nyimbo zake mpya ambazo mtasikiliza kupita hapa.Cheza hiyo nyimbo hapo juu ili umsilize Dogo Janja jinsi anavyolonga Kiarusha.