Miss Progress International Julieth Lugembe hakuweza kuficha hisia zake pale aliangusha kilio baada ya kupata hadithi za maisha aliyopitia msichana mwenye ulemavu wa ngozi Dorcus.Pichani akiwa makini kumsikiliza huku akijiwa na hisia kali juu ya simulizi hizo toka kwa bidada Dorcus.