Makamanda wa FFU wa ughaibuni wanaendelea kuipeperusha vyema bendera ya nchi kwa show zao kabambe zinazowapagawisha wazungu na kupandwa na mizuka kama ujiooneavyo pichani.Hapo nchini Serbia ambapo wanaendeleza kukonga nyoyo za wazungu.