Habari njema!!
Kwa wabongo wote wanaoishi Belgium na Wasonjo wote wanaoongea kiswahili Belgium`imeeleweka hapo` kuanzia mwanzoni mwa februari 2011 kutakuwa na utaratibu wa kutuma pesa Tz kwa njia mbadala ukiachilia njia zao za Makato`imeeleweka hapo`,Hii itasaidia kwa wale wote wenye kwikwi za mambo fulani`imeeleweka hapo`utaratibu wote mtafahamishwa mapema mwishoni mwa mwezi huu.Pesa zitatumwa na kupokelewa siku ileile ya kutuma na bei ya kulipia ni nafuu sana kulinganisha na wengine.Ahsanteni,mwenye maoni,maswali au lolote   atuandikie kwa mail..  magangaone@gmail.com