Hali uenda ikawa ngumu sana kwa siku za usoni nchini Belgium kwa wale wote wasiokuwa na raia ya nchi hiyo pindi watakapohitaji kujiandikisha kuomba uraia.Chama chenye nguvu na watu wengi cha Flamish National party N-VA kimeweka mikakati mipya itakayoanza hivi karibuni kuwa kwa mkazi yoyote wa Belgium anaetaka kuomba uraia siku za usoni angalau aongee lugha moja kwa ufasaha kati ya mbili zinazotumika nchini humo.
Mikakati hiyo ambayo Chama hicho kimesema ni lazima kwa wageni kuongea lugha hizo, na kwamba sheria mpya ambazo watazitoa pia juu ya watu wenye matukio ya uhalifu kubatilishiwa matokeo yao.
 "Duuh kazi ya ziada sasa waungwana kujua lugha zao ili wamege huo uraia wao"
kwa uhakika wa habari soma hapa www.deredactie.be/cm/vrtnieuws.english