Habari zilizonijia punde ni kwamba Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kilizuiliwa kufanya maandamano mjini Arusha na Chombo cha Dola,Amri hiyo ilionekana kupingwa na hivyo kuiletea Serikali kuchukua hatua sitahiki.Nyepesinyepesi ni kwamba watu wajeruhiwa na mabomu ya machozi na kupata  mkon'goto wa Polisi.Tutawaletea habari zaidi kadri tutakapozipata.