Johannesburg inavyoonekana kwa usiku,jiji mojawapo kubwa barani Afrika ambalo unaweza kidogo kufananisha na baadhi ya miji balani Ulaya au Amerika.
 Hapa Johannesburg inavyoonekana nyakati za mchana,kwa kweli Johannesburg ilijengwa vizuri sana.
 Kwa jinsi tulivyozoea tunaweza kufikiri kuwa hapa ni Japani,Ila ni Johannesburg South Afrika na hiki ni kiwanja kimojawapo kilichochezewa kombe la dunia.
 Hapa ni nyakati za jioni,jionee mwenyewe jinsi kunavyovutia,je unaweza kuamini kuwa hii ni Afrika?
Mpaka usafiri wa mabasi ya Ghorofa wanao,Maana watu wameshazoea kuona haya mabasi jijini London.Hii ni South Africa Wajamenii.