Habari zisizothibitishwa ni kwamba Msanii mkali wa kizazi kipya anayejulikana kwa jina la AT ameliondoka kundi la Uswazi.Hakuna aliyeweza kuzithibitisha habari hizi na pindi alipojaribu kupigiwa simu AT mwenyewe alikanusha vikali juu ya uzushi huo.