Kuna habari ambazo hazijathibitishwa kuwa aliyekuwa raisi wa zamani wa Afrika kusini Mzee Nelson Mandela Amekufa!!Watu wa karibu wa raisi huyo wa zamani wamekanusha habari hizo na kusema si habari za ukweli na kwamba hali ya mzee Madiba ni nzuri.Hata hivyo kuna habari kuwa hali ya mzee huyo amezorota mno na wengine wamekuwa wakiwasiliana wakisema kuwa amekufa jambo ambalo limekanushwa vikali na watu wake wa karibu.

Hata hiyo vyanzo vya uhakika vilivyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini humo vimeonyesha kuanza kukubaliana na uvumi huo.Maganga One Blog inamuombea uhai mrefu mzee Madiba.