Kwa kujua hali itakuwaje juu ya Amani Somalia sikiliza kwa kui'click hii link hapa chini.Ikishafunguka kwenye ule ukurasa kuna neno real,kwa upande wako wa kushoto kidogo gonga kale katufye ka- play utasikia mahojiano ya Balozi Augustine Mhiga na Flora Nducha.
Hii ni kwa ajili ya Wasomali wa ndani na nje ya nchi.