Jitahidi kadri uwezavyo kwa siku japo uweze kucheka zaidi ya mara 10,kwa kufanya hivyo utaondokana na msongo wa mawazo na kuifanya sura yako ipendeze na kuchelewa kushika makunyanzi.Vipo vituo maalumu vya televisheni vinavyoweza kukuchekesha,wapo baadhi ya watu unaowajua kuwa wanapenda kuwachekesha watu wengine jitahidi kuwafuata ili wakuchekeshe,na mambo mengine kedekede ya kukufanya ucheke,kucheka ni afya jitahidi kucheka.HAYA ANZA SASA,CHEKA SASA.....