Mkuu wa mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro akikabidhi cheti na pesa taslimu kwa mmoja wa polisi walioshiriki zoezi la kupambana na majambazi wezi wa magari, mapambano yaliyotokea katika Kijiji cha Kanyama, Kata ya Kisesa wilayani Magu, mkoani Mwanza Dec 29 mwaka jana.