Mgeni wa heshima katika sherehe za THT kutimiza miaka 5 waziri wa Habari na Michezo Mh: Emmanuel Nchimbi akikaribishwa ukumbini na dada  Kemi.Sherehe hizo ambazo zilifana na kutia fora kwa show kabambe kutoka kwa vijana hao wa THT.
 Msanii chipukizi  anayetamba hivi sasa Ditto  akifanya vitu kwa vitendo luwaonyesha mashabiki nini maana ya burudani.
 Banana Zahir Zorro hakubaki nyuma kuwapa sapoti vijana wa THT,aliwapa vionjo ili kuwapa nguvu katika game.
Baada ya uzinduzi huo timu nzima ya THT iliwaaga wapenzi na mashabiki wake kwa staili ya kipekee,kila aliyekuwepo ukumbini aliburudika na burudani yao.