Muheshimiwa Said Amanzi ambaye ni mkuu wa wilaya ya Ilemela akikata utepe kuzindua rasmi ufunguzi wa safari za ndege mpya ya FLY 540 jana katika uwanja wa Mwanza.
Captain wa ndege ya FLY 540 bwana Richard Shivogo akiwa tayari kuirusha ndege hiyo hewani kama ishara ya ufunguzi rasmi hapo jana jijini Mwanza,Ndege hii itakuwa ikifanya safari zake za kwenda Dar es Salaam na Mwanza kasoro siku ya jumamosi tu ndio hakutakuwa na safari kwa ndege hiyo.