Aliyekuwa raisi wa awamu ya tau nchi Tanzania Mh Benjamini William Mkapa ndiye msimamizi wa UN nchini Sudan katika kinyan'ganiro cha uchaguzi wa Kura za maoni nchini humo.Akieleza jinsi mambo yalivyokuwa na yanavyokwenda unaweza kugonga link hapo chini ili upate kusikia nini kinaendelea nchini Sudan.(Pichani ni raisi msaafu wa Tanzania Benjamini mkapa akihojiwa na Frola Nducha nchi Sudan).
http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/detail/120145.html