Anajulikana  kwa jina la LINA ambaye hivi sasa kipaji chake kinaonekana kwenye kundi zima la Tanzania House of Talent (THT) kwa umahiri wa sauti yake nyororo.Ametokea kwenye familia ya Dini na yeye kaamua kujiunga na Bongaflava baada ya kuona kipaji chake kitamlipa.Hivi karibuni kafyatua albumu yake inayojulikana kwa ATATAMANI.