Waziri wa mambo ya nje nchini Belgium ameshauri kuwa hakuna haja ya kusafiri na kwenda Egypt kama hakuna kitu cha lazima kutokana na ghasia zinazoendelea nchini humo.Pichani ni wananchi wakipambana vikali na polisi,wananchi wa nchi hiyo wanampinga kuendelea kuwepo madarakani raisi wa sasa Mubarak.