Mjasirimali wa kike na msanii wa muziki wa Bongoflava bidada Judith Wambura (Lady Jay Dee) ambaye hivi karibuni alizindua rasmi maji ya kunywa yenye lebo ya jina lake yanayojulikana kama LADY JAYDEE PURE DRINKING WATER,maji hayo yanayotengenezwa na kampuni ya Mohammed Enterprises Limited.Maganga One Blog inampongeza sana bidada Jaydee kwa kazi nzuri anayoifanya kwa ujumla.