Ligi kuu kuendelea tena leo wakati wababe tofauti wakitaka kila mmoja kumuonesha mwenziwe kuwa ni mbabe zaidi yake.Mambo yatakuwa kama ifuatavyo katika viwanja tofauti.

      CHELSEA   Vs   BLACKBURN

      MANCHESTER CITY Vs WOLVES

      STOKE CITY   Vs BOLTON

      WBA   Vs  BLACKPOOL

       WIGAN ATHLETIC  Vs  FULHAM

        WEST HAM UTD  Vs   ARSENAL

Wapenzi na mashabiki wa timu zenu msichelewe kukaa karibu na luninga zenu muda ukifika.Kwa nyakati za Uingereza itakuwa ni Saa tisa kamili na mechi moja ya mwisho hapo juu ndio itakayochezwa saa kumi na moja na nusu kwa saa za Uingereza.