Mtanzania aliyeuwawa na simba njiani akielekea kutafuta mahitaji yake,Kiukweli maisha ya watu hawa wa vijijini ni sawa na watu pori tu,hatuji ni idadi gani ya watu kama hawa wanatafunwa na simba kwa mwaka.Idara husika nafikiri imepata ujumbe,ila naomba msinihukumu mie ni mwakilishi wa watu wote wajameni.