Bosi alipoamua kuwahi Ofisini siku moja alikuta vihoja mule ofisini na wala hakutegemea kabisaa!!!! Alimkuta Mmoja wa watendaji kazi(msaidizi wake wa kiume) akimbusu msichana mule ofisini ambaye anafanya nae kazi pamoja. mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo:

BOSS -Hivi wewe kichaa hivi ndivyo nakulipa kwa ajili ya kumpiga kiss mwenzako eeh?

MSAIDIZI - Hapana Boss hii Kiss usinilipe ni buree!!

                         Kama wewe ungefanyaje?  mwenzio nacheka hapa.