Ni producer wa kwanza Tanzania kumpatia zawadi ya vifaa vya muziki msanii anayejulikana kwa jina la 20 percent,Man Water akijitamba mbele ya vyombo vya habari kwamba yeye ndiye Producer wa kwanza kufanya Suprise kama hiyo pichani.Aliendelea kusema kwamba huu ni mwanzo tu kwa kuendeleza kipaji cha msanii huyo ambaye ameonekana kufanya vyema katika kazi zake za muziki hivi karibuni.