Bidada Venus Williams katika moja ya action siku za nyuma.
Inonyesha wanaume wengi tunavutiwa kuangalia mchezo wa Tennis kutokana na vivutio vya maungo ya hawa wachezaji wenyewe,ukiangalia kila mchezo una mavazi yake na sheria zake,tukianzia mchezo wa Golf,wachezaji wanavaa kwa nidhamu ya hali ya juu na sio kuonyesha miili yao na sehemu nyeti.Tukija kwenye Football pia,wachezaji wanavalia vizuri na hata kama jezi ikichomoka kuna wakati refa anasimamisha mchezo na kumuamrisha mchezaji kuvalia vizuri,mfano wa mwisho nitautoa kwa wacheza pool table au Snooker nao wanavalia rasmi na kupendeza,Swali najiuliza hawa wacheza Tennis inakuwaje wanavalia nguo kama pichani hapo juu?je hakuna vazi rasmi la mchezo huo?
Bidada Serena Williams katika moja ya michezo yake siku za nyuma.