Bwana Sleyyum dakika chache akiwa bado Airport za wenzetu hukoo majuu hapa anapata Flash za mwishomwisho ili kurudi nyumbani Africa.Akiwa nje ya nchi bwana Sleyyum amezungumza na wadau wakubwa juu ya uwekezaji nchini,na ameahidiwa kuwa wawekezaji watakuja Tanzania kuja kuangalia taratibu za kuwekeza siku za usoni.
 Akiwa airpot pichani bwana Sleyyum anakamilisha taratibu za uhamiaji kabla ya kuingia ndani ya ndege.
Hapo taratibu zote ameshakamilisha na anaelekea ndani ya ndege kuelekea Afrika ambako ndipo makao makuu ya biashara zake.Kila la heri bwana Sleyyum ziara yako ilikuwa nzuri na aina mfano wa kuisimulia.Karibu tena ulaya na wasalimie sana ndugu zetu Afrika.Safari nzima ya bwana Sleyyum ilidhaminiwa na Azasha plus Company iliyokita makao yake makuu nchini Belgium.