Mrisho Mpoto mwenye Bazee lenye rangi mchanganyiko pichani akitoa burudani kwa watu waliohudhuria sherehe za kumpata shujaa wa safari katika ugawaji wa tunzo ndani ya Paradise City Hotel jijini Dar es Salaam jana.