Mrisho Mpoto bingwa wa kuimba mashahiri kwa lugha ya kiswahili pichani mwenye shati na suruali nyeupe akiwa na baadhi ya wasanii wa filamu na michezo ya kuigiza nchini baada ya kufanya showa ya nguvu na band yake ya Mjomba band.Mrisho Mpoto hivi karibuni amejizolea sifa kedekede kwa nyimbo yake ya Mjomba ambayo inatamba mpaka leo hii.Hapo wapo Mzalendo pub ambako alikuwa akifanya show usiku wa kuamkia leo.