Radi ilipopiga nchini Australia watu hawakuamini pale walipoona barabara imachia na kuwa Bonde kama ujioneavyo hiyo picha.Unaposikia miungurumo ya Radi sharti kama upo nje ya nyumba tafadhali jitahidi kutafuta sehemu nzuri ya kujihifadhi na kuomba Mungu,ila usije ukakaa chini ya mti.Pichani wananchi wa Australia wakiangalia barabara yao jinsi ilivyopasuliwa na muungurumo mkali wa radi.