Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano ya Umma), Stephen Wasira, amemtaka Kamanda wa Polisi Polisi mkoani Arusha,Thobias Andengenye, kuwaomba radhi waandishi wa habari waliopigwa na polisi na kuharibiwa mali zao wakati wa maandamano ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).Pichani waziri Wasira kushoto akibadilishana mawazo na Mbunge wa Kinondoni Mh:Idd Azzan siku za nyuma nje ya ukumbi wa Bunge.