Mzee wa Blog kwanza Assalam aleikum,pili nafurahi kuona kwamba naburudika na kuelimika na blog hii,naomba uniwekee picha hizi namtumia mke wangu kipenzi mama Saisar akiwa Ilala Shariff shamba jijini Dar es Salaam kumuonyesha vijiji vya wenzetu nilivyobahatika kuvitembelea,hii picha niliipiga wakati nashangaa kuona bendi za wanakijiji fulani wakipita huku wakiburudisha watu,nilipohoji wenyeji wakaniambia kuwa ni mila na tamaduni zao kufurahisha nafsi kila wikiendi.Mwisho nashukuru sana wana blog yetu,Chuchu Bella Chuchu !!!!