Rais Jakaya Kikwete, (wa tano mstari wa mbele kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wa nchi mbalimbali nchini pamoja na wawakilishi wa mashirika mbalimbali ya Kimataifa wakati wa hafla fupi ya kuuaga mwaka 2010 na kuukaribisha mwaka 2011 iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam jana.