Simba ya Dar es Salaam yapata mkon'goto wa goli 2- 1 kutoka kwa timu ya Zesco ya nchini Zambia katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.Pichani wachezaji wa timu zote mbili walipokuwa wakisalimiana kabla ya mpambano wao kuanza.Lilikuwa pambano la kugombea kombe la Mapinduzi.