Nchini Sudan imezoeleka kusikia watu wanatandikana shaba kila kukicha.Hali hiyo sio kila mahala nchini humo,pichani  kama ujioneavyo wananchi wa Sudani upata muda wa kuburudisha nafsi zao kwa burudani ya kucheza mpira.