Inakwenda kama KIDUMU style,kijana mdogo ambae hakuchoka kuonyesha kipaji chake kwa mashabiki wa muziki jijini.
Kundi la THT kwa kweli linatisha kila idara.Ebu ona hapoo kijana jinsi alivyopagawa kwa utamu wa muziki mpaka kuruka juu kama EDIKOPTA (Helcopter ) na kufanya washabiki kumshangilia kisawasawa.