Kiukweli ukiiangalia hii picha utaona kwamba kila mmoja yupo na shughuli zake na kuuthibitishia msemo wa kizungu kuwa "time is money" Hapo ni jijini Dar es Salaam sehemu za Kariakoo sokoni,Usilogwe ukajisahau ujue umeibiwa.Kariakoo ni mahala pa kutuliza akili na kuwa na kujiwekea ulinzi wewe mwenyewe.